LOW FLAT RATE AUST-WIDE $9.90 DELIVERY INFO

Close Notification

Your cart does not contain any items

Gatekeepers of the Temple - Swahili Edition

Tathimini Ya Mchango Wa Mlinda Lango Katika Hekalula Agano La Kale Na Mafundisho Yake Kwenye...

F Wayne Mac Leod

$16.95

Paperback

Not in-store but you can order this
How long will it take?

QTY:

English
Light to My Path Book Distribution
21 November 2024
Walinzi Wa Lango La HekaluTathimini Ya Mchango Wa Mlinda Lango Katika Hekalula Agano La Kale Na Mafundisho Yake Kwenye Maisha Ya Ukristo Leo

Mara nyingi bila kutambuliwa, walinzi wa Agano la Kale walilinda hekalu kutokana na kitu chochote kichafu, wakisimamia mambo ya kifedha kwa uaminifu na kudumisha mali ya hekalu. Walikuwa sehemu muhimu ya ibada ya Agano la Kale, wakihakikisha kwamba Bwana Mungu wao aliheshimiwa na kuheshimiwa katika mahali palipotengwa kwa ajili ya jina Lake.

Wanaume hawa wa imani hutufundisha mengi kuhusu Mungu na kile anachohitaji. Katika enzi ambapo mivuto ya ulimwengu inakubalika zaidi na zaidi katika kanisa, tungefanya vyema kuwasikiliza walinzi wa malango wa siku zetu kwa makini.
By:  
Imprint:   Light to My Path Book Distribution
Dimensions:   Height: 216mm,  Width: 140mm,  Spine: 4mm
Weight:   91g
ISBN:   9781927998625
ISBN 10:   192799862X
Pages:   70
Publication Date:  
Audience:   General/trade ,  ELT Advanced
Format:   Paperback
Publisher's Status:   Active

F. Wayne Mac Leod alizaliwa Sydney Mines, Nova Scotia, Canada na alikasoma Ontario Bible College, Chuo kikuu cha Waterloo na Ontario Theological Seminary. Aliwekewa mikono katika kanisa la Baptist Hespeler huko Cambridge, Ontario Mwaka 1991. Yeye na Mke wake Diana walitumika kama Wamishenari na shirika lililoitwa Africa Evangelical Fellowship katika Visiwa vya Mauritania na Reunion katika bahari ya hindi tangu mwaka 1985 - 1993 ambapo Wayne alikuwa anafanyakazi ya Maendeleo ya kanisa na kufundisha Viongozi. Kwa sasa anafanya huduma ya uandishi wa Vitabu na ni Mwanachana wa Action International Ministries.

See Also